Numbers 28:26

Sikukuu Ya Majuma

(Walawi 23:15-22)

26 a“ ‘Siku ya malimbuko, mnapomletea Bwana sadaka ya nafaka mpya wakati wa Sikukuu ya Majuma, mwe na kusanyiko takatifu na msifanye kazi zenu za kawaida.
Copyright information for SwhNEN